Ruka kwenda maudhui kuu
BEI HALISI KUTOKA APP

Lipia kwa ukubwa wa kikundi

Features zote ni sawa kwa kila kifurushi — unalipia kulingana na idadi ya wanachama. Hakuna kuficha vipengele. Jaribio Bure siku 30

Kikundi Mini

Wanachama 1 – 15

TSh 15,000/mwezi
  • Wanachama hadi 15
  • Hisa, mikopo, jamii, miradi
  • SMS 100 /mwezi
  • AI, Upatu, PDF zote
Chagua Mini

Android APK (v1.0) • Faili Salama

Jinsi ya kusakinisha?
★ INAYOPENDWA

Kikundi Kati

Wanachama 16 – 30

TSh 20,000/mwezi
  • Wanachama hadi 30
  • Hisa, mikopo + wadhamini
  • SMS 200 /mwezi
  • AI, Upatu, PDF, SMS
Chagua Kati

Android APK (v1.0) • Faili Salama

Jinsi ya kusakinisha?

Kikundi Plus

Wanachama 31 – 99

TSh 25,000/mwezi
  • Wanachama hadi 99
  • Vikundi vyote + Upatu
  • SMS 350 /mwezi
  • Ripoti Excel + PDF
Chagua Plus

Android APK (v1.0) • Faili Salama

Jinsi ya kusakinisha?

Kikundi Max

Wanachama 100+ (bila kikomo)

TSh 30,000/mwezi
  • Wanachama bila kikomo
  • Vipengele vyote + AI
  • SMS 500 /mwezi
  • Msaada wa kipekee
Chagua Max

Android APK (v1.0) • Faili Salama

Jinsi ya kusakinisha?

Mna kikundi kikubwa au mtandao wa vikundi vingi? Wasiliana nasi upate kifurushi maalum.

Malipo kupitia Selcom Lipa Namba — uthibitisho wa HMAC na ulinganisho wa kila siku saa 3 asubuhi. VAT imejumuishwa. Unaweza kughairi wakati wowote.

“Hulipii kufungua feature — unalipia kulingana na ukubwa wa kikundi chako.”

NJIA ZA KULIPA — TANZANIA
Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au Benki (CRDB / NMB)
M-Pesa Tigo Pesa Airtel Money CRDB / NMB

Selcom Lipa Namba • HMAC uthibitisho • Ulinganisho kila siku saa 3 asubuhi

Maswali ya Malipo

Majibu ya maswali muhimu kuhusu ada, data na mabadiliko ya kifurushi.

Uko tayari kuanza Jaribio la Siku 30?

Chagua kifurushi chako na pakua MANE moja kwa moja — hakuna kusubiri, hakuna fomu ndefu.

Hakuna haja ya kadi ya benki au malipo ya awali kuanza jaribio.

Android APK (v1.0) • Faili Salama • Pakua Moja kwa Moja

Jinsi ya kusakinisha?
Wasiliana nasi WhatsApp