Ruka kwenda maudhui kuu
VIPENGELE 6 KUU

Kila kitu unachohitaji.
Kwa usahihi wa hali ya juu.

Vimejengwa kwa vikundi halisi vya VICOBA nchini Tanzania — rahisi kwa wote, hata wasio na smartphone (kupitia SMS). Kila kipengele kimejaribiwa kwenye vikundi hai.

Hisa • Mikopo • JamiiMiradi • MikutanoAI ndani ya App
01 • WANACHAMA

1. Usimamizi wa Wanachama & Vikundi

Ongeza wanachama kwa msimbo wa 6-digit, weka majukumu (Mwenyekiti/Katibu/Mhazini), na idhini ya maafisa 3 kwa kila muamala. Mwanachama anaona salio lake kwa SMS: SALIO.

  • Misimbo ya kujiunga & link ya mwaliko
  • Idhini ya 3 — hakuna kujikubali
  • Inaonekana hata kwenye simu ya kawaida
Misimbo ya kujiungaRoles
02 • MIKOPO

2. Mikopo & Marejesho

Maombi aina 8 (dharura, biashara, elimu...), wadhamini 1-3, tathmini ya riski 0-100 kwa AI, riba & faini auto. Mkopo ukichelewa 2% kila siku 30.

  • KYC < 500k bila, >500k lazima
  • Wadhamini wanathibitisha ndani ya app
  • Marejesho na ratiba auto
03 • MIFUKO

3. Mifuko Maalum & Miradi

Mfuko wa Jamii (msiba/ugonjwa), miradi ya kikundi (mtaji, mapato, matumizi), na gawio kwa % ya umiliki — vyote na idhini ya 3 na PDF.

  • Michango ya jamii & arrears block
  • Matukio ya dharura & payouts
  • Miradi: capital, dividends, report
04 • RIPOTI

4. Taarifa za Kifedha & Takwimu

Dashibodi ya mwanachama & kiongozi, salio halisi (realtime), grafu miezi 6, historia na ripoti PDF/Excel kwa SACCOS.

  • Salio halisi + mwenendo
  • Credit score & Financial Passport
05 • MAWASILIANO

5. Mawasiliano & Arifa

SMS & Push kwa kila kikao, marejesho, mkopo; mahudhurio (Hudhuria/Hayupo/Samahani) + faini otomatiki. NextSMS 100-500/mwezi.

  • SMS commands: SALIO, HISA, SAIDIA
  • Push via Expo + FCM
06 • AI

6. AI & Otomatiki

Tathmini ya riski 0–100, utabiri wa cashflow miezi 6, ushauri wa fedha na chatbot — kwa Kiswahili, Groq LLM ndani ya app.

  • AI Risk + Coaching
  • Chatbot masaa 24
USALAMA & TEKNOLOJIA

Usalama wa Hash-Chain (HMAC-SHA256)

Kila muamala unafungwa kwa hash. Cron ya usiku ina-verify chain nzima — hakuna wa kubadilisha bila kugundulika.

Inafanya kazi bila mtandao (Offline-first)

Andika miamala yote kikaoni bila internet — inasawazisha yenyewe mkipata mtandao.

Idhini ya Maafisa 3 kwa Miamala

Hakuna kujikubali — kila muamala unahitaji Mwenyekiti, Katibu na Mhazini.

ULINGANISHO WA MOJA KWA MOJA

Njia ya Zamani (Daftari) vs MANE Kidijitali

Tatizo moja, suluhu mbili — angalia jinsi MANE inavyofuta maumivu ya daftari na kalamu.

Njia ya Zamani (Daftari)

Karatasi • Kalamu • Muda mrefu

MANE Kidijitali

Simu • Haraka • Salama

Hesabu za mkono

Kuchanganyikiwa, makosa ya kuhesabu, masaa ya kupoteza

Hesabu za Otomatiki

Haraka, sahihi 100%, bila makosa — gawio linahesabiwa papo hapo

Hatari ya kupoteza rekodi

Karatasi kuchanika, kuungua, kuoza au kupotea — data inaenda

Hifadhi ya Mtandaoni/Offline

Hash-Chain salama, backup otomatiki, inasawazisha hata bila mtandao

Idhini ya mtu mmoja

Hatari ya wizi, hakuna uwazi — mtu mmoja anaandika peke yake

Idhini ya Maafisa 3 kwa Miamala

Mwenyekiti + Katibu + Mhazini — hakuna kujikubali

Kusubiri kikao kuona salio

Lazima uende kikao, uulize katibu — muda na usumbufu

Angalia salio muda wowote

Kwenye simu yako, hata kwa SMS: tuma SALIO

Gusa kushoto/kulia kuona tofauti • Swipe kwenye simu

JINSI INAVYOFANYA

Anza kwa hatua 3 tu

Kutoka kupakua hadi kukua — dakika 3 tu. Hakuna makaratasi.

Pakua & Jisajili

Play Store/App Store → jina la kikundi, kiongozi, uthibitisho wa simu — sekunde 30.

Sanidi & Karibisha

Weka sheria za hisa, mikopo. Alika kwa link au 6-digit — hakuna code.

Furahia & Kuwa

Fuatilia hisa, idhinisha mikopo — dashibodi moja.

Uko tayari kuondoa daftari na kuanza kidijitali?

Vipengele vyote vipo tayari — pakua sasa uone tofauti kwenye kikao kijacho.

Android APK (v1.0) • Faili Salama • Pakua Moja kwa Moja

Jinsi ya kusakinisha?
Wasiliana nasi WhatsApp